MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA VIWANGO VYA USIMAMIZI WA USALAMA WA CHAKULA: ISO 22000, HACCP
Dar es Salaam, Tanzania - Feb 28, 2024
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya siku moja yanayohusu uelewa wa viwango vya usimamizi wa usalama wa chakula (ISO 22000:2018 & HACCP – TZS 1770:2016). More...